Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 17, 2021 Local time: 04:02

Miili ya wasichana yapatikana katika mto Hudson


Miili ya wasichana yapatikana katika mto Hudson
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:43 0:00

Polisi katika mji wa new York wanaendelea kujaribu kutanzua kisa cha wasichana wawili ambao miili iliopatikana wiki moja iliyopita katika mto wa Hudson, unaopakana na eneo la Manhattan wakiwa wamefungwa pamoja kiunoni na miguuni.

XS
SM
MD
LG