Harakati za biashara na hali ya maisha kwenye barabara kuu kati ya mji mkuu wa jimbo la Cabo Delgado, Pemba na mji ulioko kaskazini mwa Palma kama alivyoshuhudia Abdushakur Aboud wakati wa ziara yake katika jimbo hilo Julai 2018.
Maisha katika barabara kuu kati ya Pemba na Palma Msumbiji

1
Mtaa wenye harakati nyingi katika barabara inayoelekea eneo la Palma kaskazini mwa Msumbiji

2
Duka lilioko katika barabara inayoelekea Palma, Msumbiji

3
Wanawake wakihamisha nyasi katika barabara ya Palm

4
Mti wa mbuyu ulioko katika barabara inayotokea mji wa Pemba kuelekea Palma, Msumbiji
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017