Picha mbalimbali zikionyesha jinsi makundi mbalimbali yanayoshiriki katika mchuano ya Kombe la Dunia yalivyoweza kukonga nyoyo za washabiki wao katika mechi zinazoendelea nchini Russia.
Kombe la Dunia Russia 2018 : Matukio ya timu zilizopambana katika michuano ya awali
HABARI KATIKA PICHA: Timu mbalimbali katika makundi zilizoshiriki katika kombe la dunia
17
Golikipa wa Argentina Wilfredo Caballero nyuma ya mchezaji Ante Rebic wa Croacia kufunga goli katika mchezo wa kundi D kati ya Argentina and Croacia.
18
Mchezaji wa Misri Mohamed Salah wakishindana kuchukua mpira na mchezaji wa Saudi Arabia's Salman Al-Faraj.
19
Mchezaji wa Panama Blas Perez akimrukia mchezaji wa timu yake Felipe Baloy baada ya kufunga goli la kwanza wakati wa pambano dhidi ya Uingereza kwenye mechi ya kundi G katika uwanja wa Nizhny Novgorod, mjini Nizhny Novgorod , Russia, Jumapili, Juni 24, 2018.
20
Mchezo wa Kundi C - Denmark vs Ufaransa - Uwanja wa Luzhniki, Moscow, Russia - Juni 26, 2018 Mchezaji wa Ufaransa Olivier Giroud akipiga mpira kuelekea lango la Denmark.