Picha mbalimbali zikionyesha jinsi makundi mbalimbali yanayoshiriki katika mchuano ya Kombe la Dunia yalivyoweza kukonga nyoyo za washabiki wao katika mechi zinazoendelea nchini Russia.
Kombe la Dunia Russia 2018 : Matukio ya timu zilizopambana katika michuano ya awali
HABARI KATIKA PICHA: Timu mbalimbali katika makundi zilizoshiriki katika kombe la dunia
21
Mchezaji wa Nigeria Ahmed Musa, kulia, akishangilia kufunga goli la kwanza wakati wa mchuano wa kundi D kati ya Nigeria na Icelanda.
22
Mchezaji wa Brazil's Neymar (haonekani) na Gabriel Jesus (katikati) wakivunja yai juu ya kichwa cha mchezaji wa timu yao Philippe Coutinho wakisheherekea siku ya kuzaliwa kwake wakati wa maandalizi ya michuano ya Kombe la Dunia Juni 12, 2018 huko Russia.
23
Wachezaji wa Croatia wakisalimiana na washabiki wa timu hiyo baada ya kumalizika mechi ya kundi D kati ya Iceland na Croatia.
24
Mchezaji wa Japan Keisuke Honda, kushoto, akifunga goli wakati wa mechi ya kundi H kati ya Japan na Senegal.