Picha mbalimbali zikionyesha jinsi makundi mbalimbali yanayoshiriki katika mchuano ya Kombe la Dunia yalivyoweza kukonga nyoyo za washabiki wao katika mechi zinazoendelea nchini Russia.
Kombe la Dunia Russia 2018 : Matukio ya timu zilizopambana katika michuano ya awali
HABARI KATIKA PICHA: Timu mbalimbali katika makundi zilizoshiriki katika kombe la dunia
13
Mchezaji wa Iceland's Alfred Finnbogason, kushoto, akiwa na mwenzake Hordur Magnussonat baada ya kumalizika mechi ya kundi D kati ya Iceland and Croatia, katika uwanja wa Rostov, mjini Rostov-on-Don, Russia, Jumanne, Juni 26, 2018.
14
Mchezaji wa Argentina's Lionel Messi na mchezaji wa Nigeria's John Obi Mikel wakinyang'anyana mpira katika mechi ya kundi D.
15
Mchezaji wa Uruguay's Edinson Cavani akishangilia na mchezaji wa timu yake Diego Godin, kulia, baada ya kufunga goli la tatu katika mechi ya kikundi A kati ya Uruguay na Russia katika uwanja wa Samara, mjini Samara, Russia, Jumatatu, Juni 25, 2018.
16
Mchezaji wa Japan Keisuke Honda, kulia, akifunga goli la pili kwa timu yake baada ya kumpita mchezaji wa Senegal Kalidou Koulibaly wakati wa mechi ya kundi H kati ya Japan and Senegal katika uwanja wa Yekaterinburg, mjini Yekaterinburg , Russia, Jumapili, Juni 24, 2018.