Picha mbalimbali zikionyesha jinsi makundi mbalimbali yanayoshiriki katika mchuano ya Kombe la Dunia yalivyoweza kukonga nyoyo za washabiki wao katika mechi zinazoendelea nchini Russia.
Kombe la Dunia Russia 2018 : Matukio ya timu zilizopambana katika michuano ya awali
HABARI KATIKA PICHA: Timu mbalimbali katika makundi zilizoshiriki katika kombe la dunia
9
Mchezo wa kundi A - Saudi Arabia vs Egypt huko uwanja wa Volgograd, mjini Volgograd, Russia - Juni 25, 2018. Mchezaji wa Misri Ahmed Fathy akikabiliana na mchezaji wa Saudi Arabia Salem Al-Dawsari.
10
Mchezaji wa Brazil Philippe Coutinho, katikati, akifunga goli la kwanza wakati wa pambano la Kundi E kati ya Brazil and Costa Rica kwenye uwanja wa St. Petersburg, mjini St. Petersburg, Russia, Ijumaa, Juni 22, 2018.
11
Mchezaji wa Portugal Cristiano Ronaldo, kulia, na mchezaji wa Iran's Omid Ebrahimi wakinyang'anyana mpira wakati wa pambano la kundi B katika uwanja wa Mordovia, mjini Saransk, Russia, Jumatatu, Juni 25, 2018.
12
golikipa wa Iran Ali Beiranvand akionyesha hisia zake baada ya kumalizika mechi ya kundi B kati ya Iran na Portugal katika uwanja wa Mordovia, mjini Saransk, Russia, Jumatatu, Juni 25, 2018.