Picha mbalimbali zikionyesha jinsi makundi mbalimbali yanayoshiriki katika mchuano ya Kombe la Dunia yalivyoweza kukonga nyoyo za washabiki wao katika mechi zinazoendelea nchini Russia.
Kombe la Dunia Russia 2018 : Matukio ya timu zilizopambana katika michuano ya awali
HABARI KATIKA PICHA: Timu mbalimbali katika makundi zilizoshiriki katika kombe la dunia
5
Timu ya Japan's ikiwa katika mazoezi huko mjini Kazan, Russia Juni 26, 2018 wakati wa michuano ya Kombe la Dunia Russia 2018.
6
Mfungaji wa timu ya Colombia's Yerry Mina, kulia, akishangilia na mchezaji wa timu yake Davinson Sanchez baada ya kufunga goli la kwanza wakati wa mechi ya Kikundi H wakati Poland ilipocheza na Colombia huko katika uwanja wa Kazan, Russia, Jumapili, Juni 24, 2018.
7
Mchezaji wa Argentina's Lionel Messi, kulia, akitoka uwanjani wakati mchezaji wa Croatia Sime Vrsaljko akisheherekea ushindi wa timu yake wa mabao 3-0 ulipomalizika mchuano wa kundi D katika pambano kati ya Argentina and Croatia kwenye uwanja wa Nizhny Novgorod huko Novgorod, Russia, Alhamisi, Juni 21, 2018.
8
Mchezaji wa Nigeria Victor Moses, kushoto, na mchezaji wa Argentina's Nicolas Tagliafico wakigombania mpira wakati wa pambano la kundi D.