Kwa mara ya kwanza tangu Zimbabwe kunyakua uhuru wake 1980, wanajeshi wameonekana wakiungana mkono na waandamanaji kumtaka kiongozi wao wa muda mrefu Rais Robert Mugabe kuacha madaraka.
Wazimbabwe waungana na wanajeshi kumtaka Mugabe aondoke madarakani

1
Umati mkubwa wa Wazimbabwe kuwahi kuonekana wakielekea ikulu kumtaka rais wa muda mrefu Robert Mugabe kuacha madaraka Harare, Zimbabwe Saturday, Nov. 18, 2017.

2
Mabango yakieleza "Ni Lazima Mugabe aondoke" wakati wa maandamano ya kwanza ya wafuasi wa pande zote Zimbabwe.

3
"Wananchi wa Zimbabwe wanamtaka Mugabe kuondoka" ni bango linalobebwa na muandamanaji mmoja siku ya Jumamosi mjini Harare, Zimbabwe, Nov. 18, 2017.

4
Zimbabwe Political Turmoil
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017
Facebook Forum