Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Aprili 16, 2024 Local time: 11:40

Rais Omar al-Bashir awasiliu kwa ziara Uganda

Rais Omar al-Bashir amewasili Uganda kwa mazungumzo na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni huku mashirika ya kutetea haki za kibinadamu yakitoa wito wa kukamatwa kiongozi huyo anaetafuta kwa Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa ICC

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG