Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 10:29

Wakenya wawika katika mbio za Marathon za New York 2017

Shalane Flanagan kwa mshangao amemshinda bingwa wa mbiyo za marathon za New York Mary Keitany kutoka Kenya siku ya Jumapili na kuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani kushinda mbiyo hizo.

Kwa upan de wa wanaume wakenya waliwika pale Geoffrey Kamworor aliponyakua ushindi wake wa kwanza na kumshinda mwenzake Wilson Kipsang bingwa wa dunia wambio hizo kwa sekunde tatu.


Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG