Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 15, 2024 Local time: 05:25

Maonesho ya biashara ya waislamu wa Amerika Kaskazini wakati wa kongamano la ICNA

Karibu watu elfu 15 walihudhuria kongamano na maonesho yaliyotayarishwa na Jumuia ya Waislamu Amerika ya Kaskazini, ICNA, iliyofanyika Baltomore, Maryland, na kuzungumzia masuala mbali mbali yanayowahusu waislamu wa Marekani na Canada. Kivutio kikubwa ni maonesho ya biashara ya waislamu katika nchi hizi mbili

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG