Upatikanaji viungo

Michuano ya siku ya tatu ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2017

Vijana wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wafamikiwa kuilaza Moroko bao moja kwa bila na kuliongoza kundi la C baada ya Ivory Coast mabingwa wa Kombe la Afrika kwenda sare na Togo.
Onyesha zaidi

Junior Kalonji wa DRC akipambana na Ghanem Saiss wa Moroko katika mchuano wao wa kwanza kwenye uwanja wa  Oyrm, Gabon  wakati wa finali ya CAN 2017 Januari 16 2017.
1

Wachezaji wa timu ya DRC .
2

Wachezaji wa timu ya DRC .

Florent Ibenge, kocha wa DRC akizungumza na waandishi habari kabla ya timu yake kupambana na Moroko mjini Oyem, Gabon, Januari 15, 2017.
3

Mchuano kati ya Burkina Faso na Cameroon katika kundi A mjin Libreville, Gabon Januari 14, 2017.
4

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG