Maandamano ya kumpinga rais mteule wa Marekani Donald Trump kutokana na matamshi yake ya kudhalilisha wahamiaji, waislamu wanawake wakati wa kampeni za uchaguzi yanafanyika siku moja baada ya kupata ushindi.
Waandamanaji wapinga ushindi wa Trump Marekani

1
Mamia ya wapinzani wa Donald Trump waandamana kupitia mtaa wa Sixth Avenue kuelekea jengo la Trump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.

2
Maandamano ya kumpinga Donald Trump mjini Los Angeles.

3
Waandamanaji wakifurika mtaa wa Fifth Avenue wakipinga ushindi wa Donald Trump nje ya jengo lake laTrump Tower in New York City, Nov. 9, 2016.

4
Waandamanaji wanaompinga Donald Trump mjini Philadelphia, Pennsylvania, Nov. 9, 2016.