Upatikanaji viungo

Rais John Magufuli wa Tanzania afanya ziara ya kwanza Kenya

Rais John Magufuli wa Tanzania atembelea Kenya kwa ziara yake ya kwanza rasmi Oktoba 31 2016, tangu kuchukua madaraka mwaka mmoja uliyopita.
Onyesha zaidi

Rais Uhuru Kenyatta akimkaribisha mwenzake John Magufuli ikulu Nairobi
1

Mkutano juu ya biashara kati ya marais wa Kernya na Tanzania mjini Nairobi
2

Rais John Magufuli wa Tanzania akimsalimia naibu rais wa Kenya William Ruto
3

Rais John Magufuli wa Tanzania atia saini katabu cha wageni Ikulu, Nairobi Rais Kenyatta akimtizama.
4

Pandisha zaidi

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG