Mkutano mkuu wa chama cha Republican nchini Marekani ulimalizika baada ya mgombea rasmi wa kiti cha rais Donald Trump kukubali uteuzi wake.
Mkutano mkuu wa Republican wamalizika Cleveland

1
Mgombea kiti cha rais wa chama cha Republican Donald Trump na familia yake waungana na mgombea mwenza wake Gavana wa Indiana Mike Pence pamoja na familia yake kwenye jukwa la mkutano mkuu wa chama cha Republican Cleveland, Ohio, U.S. July 21, 2016.

2
Mgombea kiti cha rais wa chama cha Republican Donald Trump, akipiga makofi alipokua anahutubia mkutano mkuu wa chama cha Republican mjini Cleveland, Ohio, July 21, 2016.

3
Waandamanaji wanaopinga utumiaji nguvu unaofanywa na polisi wakiandamana katika mji wa Cleveland wakati wa mkutano mkuu wa chama cha Republican, Cleveland, Ohio, US, July 19, 2016.

4
Wauza T-shirt rasmi kwenye mkutano wa republican