Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Juni 14, 2024 Local time: 19:39

Wafuasi wa chama tawala CCM Zanzibar washerehekea ushindi wa Shein

Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC imemtangaza Dr Ali Mohamed Shein kua mshindi wa uchaguzi wa marudio wa rais ulofanyika jumapili na kususiwa na chama kikuu cha upinzani CUF.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG