Polisi wa Ubelgiji wamefanikiwa kumkamata Salah Abdelsam, muandalizi mkuu wa mashmabulizi ya Paris yalisosababisha vifo vya watu 130.
Polisi wa Ubelgiji wamkamata muandalizi wa mashambulzi ya Paris
1
Kitambulisho cha Salah Abdeslam, rais wa Ubelgiji aliyehusika na mashmabulizi ya Paris.
2
Polisi wakilinda mtaa wakati wa shambulizi katika mji wa Molenbeek ambako walimkamata Salah Abdeslam siku ya Ijuma March 18, 2016
3
Polisi wa kikosi maalum wakilinda eneo ambalo polisi wanashambulia katika kiunga cha Brussel cha Molenbeek, Machi 18, 2016.
4
Soldiers from the Belgian army patrol in the picturesque Grand Place in Brussels, Nov. 20, 2015.