Upatikanaji viungo

Rais Kenyatta azindua miradi muhimu eneo la Pwani la Kenya

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atembelea miji mbali mbali ya pwani na kuzindua ujenzi wa barabara ya uwanja wa ndege wa Moi, mradi wa maji wa Faza-Vumbe, kukabidhi hati za kumiliki ardhi na kuhudhuria maulidi ya Lamu miongoni mwa shughuli alizofanya mnamo mwisho wa wiki ya kwanza ya 2016
Onyesha zaidi

Rais Kenyatta acheza na wacheza ngoma wa Waitiki Likoni Mombasa
1

Rais Kenyatta acheza na wacheza ngoma wa Waitiki Likoni Mombasa

Rais Kenyatta akiwashukuru wakazi wa mradi wa bandari ya Lamu
2

Rais Kenyatta akiwashukuru wakazi wa mradi wa bandari ya Lamu

Rais Kenyatta azindua barabara ya uwanja wa ndege wa Moi Nairobi
3

Rais Kenyatta azindua barabara ya uwanja wa ndege wa Moi Nairobi

Kenyatta azindua ujenzi wa barabara ya uwanja wa ndege wa Moi Mombasa
4

Kenyatta azindua ujenzi wa barabara ya uwanja wa ndege wa Moi Mombasa

Pandisha zaidi

Maoni yako

Onyesha maoni

Makundi

XS
SM
MD
LG