Uwamuzi wa saudi Arabia kumuwa imammashuhuri wa kishia Nimr al-Nimrni kwa tuhuma za kuchochea ghasia pamoja na washia wengine 46, umezusha hasira na lawama kutoka mataifa ya kislamu na na nchi mbali mbali za dunia
Saudi Arabia yazusha hasira miongoni mwa washia duniani
9
Waislamu wa dhehebu la Kishia wakichoma sanamu ya mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulaziz wakati wa maandamano mjini Karachi, Pakistan, mbele ya ubalozi wa Saudi Arabia kufuatia mauwaji ya Nimr al-Nimr, Jan. 4, 2016
10
Tehron, Eron
11
Waandamanaji wa Iran wakiimba nyimbo na kubeba mabango dhidi ya Saudi Arabia mjini Teheran Iran, Monday, Jan. 4, 2016.
12
Waislamu wa dhehebu la Kishia wakichoma sanamu ya mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulaziz wakati wa maandamano Kashmir, eneo linaloshikiliwa na India, kufuatia mauwaji ya Nimr al-Nimr, Jan. 4, 2016