Ndege ya shirika la ndege la Air France yatuwa kwa dharura mjini Mombasa baada ya kuwepo na kitisho cha bomu ndani ya ndege hiyo.
Ndege ya Air France yatua Mombasa kwa dharura
1
Afisa wa polisi wa Kenya akishika zamu wakati abiria wa ndege ya Air France wakipiti kituo cha ukaguzi kwenye uwanja wa ndege wa Moi mjini Mombasa Kenya, Jumapili, Dec. 20, 2015
2
Afisa wa polisi wa Kenya atizama kwa makini wakati abiria wa ndege ya Air France wakipiti kituo cha ukaguzi kwenye uwanja wa ndege wa Moi mjini Mombasa Kenya, Jumapili, Dec. 20, 2015
3
Ndege ya Air France iliy7otua kwa dharura mjini Mombasa
4
Baadhi ya abiria wa ndege ya Air France wakiwasili kwenye hoteli ili kusubiri na kuendelea na safari yao.