Upatikanaji viungo

Breaking News

Al-Shabab washambulia Hoteli Sahafi mjini Mogadishu

Serikali ya Somalia inalani vikali shambulizi la Al-Shabab dhidi ya hoteli mashuhuri Sahafi na kusababisha vifo vya watu 12. Moja wapo ya aliyeuwawa na mkuu wa zamani wa jeshi la Somalia Jenerali Abdikarim Yusuf aliyewafukuza wanamgambo wa Al-shabab kutoka Mogadishu
Onyesha zaidi

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG