Rais Barack Obama na Raul Castro wa Cuba wakutana mjini Panama kando ya mkutano wa viongozi wa mataifa ya Amerika ya kaskazini na kusini, ikiwa mara ya kwanza kwa viongozi wa nchi hizo mbili kukutana baada ya miaka 50 ya uhusiano wa uhasama.
Mkutano wa viongozi wa mataifa ya Amerika Kaskazini na Kusini

1
Rais Raul Castro (kushoto) akisimama pamoja na Rais Barack Obama kabla ya kufunguliwa rasmi mkutano wa saba wa viongozi wa mabara ya Amerika mjini Panama, April 10, 2015.

2
(Viti vya kati kushoto hadi kulia) Rais Raul Castro wa Cuba, Rais Rafael Correa, wa Equador na Rais Salvador Sanchez Ceren wa El Salvador, na Rais wa Marekani Barack Obama wahudhuria sherehe za ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa mabara ya Amerika, mjini Panama City, April 10, 2015

3
Rais Barack Obama (kushoto), akiwa pamoja na mshauri wake wa Usalama wa Kitaifa Susan Rice, anapotoa hotuba yake wakati wa kikao cha kwanza cha mkutano wa viongozi wa mataifa ya Amerika ya Kaskazini na Kusini mjini Panama City, April l 11, 2015.

4
U.S. President Barack Obama and Cuban President Raul Castro meet for an informal talk on the sidelines of the Summit of the Americas in Panama City, April 11, 2015.