AFCON Final
AFCON Final
1
Rais wa FIFA, Sepp Blatter (R) akizungumza na kapten Andre Ayew (L) baada ya Ghana kushindwa mechi ya fainali za soka kwenye kombe la mataifa ya Afrika na Ivory Coast huko Bata, Equatorial Guinea.
2
Kocha wa Ivory Coast, Herve Renard (L) akishauriana na Kapten wa Ghana, Andre Ayew (C) na asamoah Gyan (R) baada ya Ghana kushindwa mechi ya fainali kwenye kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Ivory Coast huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili Februari 8,2015.
3
Golikipa wa Ivory Coast, Boubacar Barry (R) akipiga mpira wa penati uliopelekea ushindi kwa nchi hiyo dhidi ya Ghana kwenye mechi ya soka ya fainali za kombe la mataifa ya Afrika huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili Feb 8, 2015.
4
Golikipa wa Ghana, Razak Braimah akiruka kuudaka mpira lakini alishindwa kuokoa penati iliyosababisha ushindi kwa Ivory Coast dhidi ya Ghana kwenye mechi za soka za fainali kwenye kombe la mataifa ya Afrika huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili februari 8, 2015.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017