AFCON Final
AFCON Final
5
Golikipa wa Ivory Coast, Boubacar Barry akiokoa mpira wa penati uliopigwa mwishoni mwa mechi ya soka dhidi ya Ghana kwenye fainali za kombe la mataifa ya Afrika huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili Februari 8, 2015.
6
Mashabiki wa soka wa Ivory Coast wakiimba kabla ya mechi yao ya fainali dhidi ya Ghana kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili Februari 8, 2015.
7
Rais wa bunge la Ivory Coast, Guillaume Soro (C) akinyanyua kombe na wachezaji wa timu ya Ivory Coast baada ya kushinda kwenye mechi za fainali kwenye kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Ghana huko Bata, Equatorial Guinea, Jumapili Feb 8, 2015.
8
Wachezaji wa soka wa Ivory Coast wakisheherekea baada ya kushinda mechi za fainali za soka kwenye michuano ya kombe la mataifa ya Afrika dhidi ya Ghana huko Bata, Equatorial Guinea Februari 8, 2015
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017