0
Mandera yashambuliwa tena na al Shabab

1
Rais Uhuru Kenyatta, kushoto, pamoja na Naibu Rais William Ruto, akihutubia taifa katika State House in Nairobi, Kenya, Dec. 2, 2014.

2
Wanajeshi wa jeshi la Kenya na wanaojitolea wa Msalaba Mwekundu wanabeba miili ya watu walouliwa katika kijiji cha Korome, nje ya mji wa mpakani wa Mandera, Kenya, Dec. 2, 2014.

3
Watu wanasimama kando ya miili ya watu iliyowekwa pamoja karibu na mahala walishambuliwa katika na kijiji cha Korome, karibu na Mandera, Dec. 2, 2014.

4
Wanajeshi wa jeshi la Kenya na wanaojitolea wa Msalaba Mwekundu wanabeba miili ya watu walouliwa katika bonde kwenye kijiji cha Korome, nje ya mji wa mpakani wa Mandera, Kenya, Dec. 2, 2014.