Mji wa kati wa Marekani wa Ferguson, Missouri, na maeneo ya karibu yanajitayarisha kwa maandamano zaidi baada ya baraza kuu ya Mahkimu kuamua kutomfungulia mashtaka afisa wa polisi mzungu aliyemuuwa kijana mweuzi ambae hakuwa na silaha mwezi Ogusti.
Hali ni tete Ferguson kufuatia ghasia za usiku
5
Rais Barack Obama akizungumza kutoka White House muda mfupi baada ya baraza kuu la Mahakimu la Ferguson kuamua kutomfungulia mashtaka afisa wa polisi Darren Wilson aliyemuuwa Michael Brown, Washington, Nov. 24, 2014.
6
Muimbaji wa mtindo wa Rap Macklemore atembea na waandamanaji mjini Seattle, Washington, baada ya uwamuzi kutangazwa kwamba afisa wa polisi hatofunguliwa mashtaka huko Ferguson Nov. 24, 2014.
7
Watu wanatembea mbele ya ghala linalowaka moto huko Ferguson baada ya kutangazwa kwamba afisa wa polisi hatofunguliwa mashtaka.Ferguson, Missouri, Nov. 24, 2014.
8
A protester burns an American flag on Highway 580 during a demonstration following the grand jury decision in the shooting of Michael Brown, in Oakland, California, Nov. 24, 2014.