No media source currently available
BwHumphery Polepole anasema kwa bahati mbaya Baraza la Katiba limeharibu kabisa utaratibu wa kuandika katiba mpya ya Tanzania na huwenda ikabidi kuanza upya utaratibu huo.