No media source currently available
Rais Obama ametowa wito kwa viongozi wa dunia kuungana nae katika vita dhidi ya ugaidi na makundi yenye siasa kali yanayohatarisha usalama wa dunia.