Mapigano yameendelea kwa wiki tatu na kusababisha haribifu mkubwa wa mali za wapalestina na zaidi ya watu elfu moja kuuwawa huko Gaza.
Picha za hali huko Gaza, Ukingo wa Magharibi na Israeli

1
Waandamani wa Palestina wajificha nyuma ya pipa la taka wakati wa mapambano na wanajeshi wa Israeli dhidi ya uvamizi wa Israel huko Gaza, karibu na makazi ya ayahudi ya Bet El, karibu na mji wa Ramallah, Ukingo wa Magharibi, July 25, 2014.

2
Wanajeshi wa Israeli wakimbia karibu na makazi ya walowezi ya Bet El wakati wa mapambano na aandamanaji wa ki-Palestina wanaopinga uvamizi wa Israel huko Gaza. July 25, 2014.

3
Afisa wa jeshi la Israeli anatoa maelezo kwa waandishi habari alipowapeleka kwenye njia ya chini kwa chini inayosemekana kutumiwa na wanamgambo wa Palesina kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka. July 25, 2014.

4
Palestinians take cover during clashes with Israeli soldiers following a protest against the Israeli military action in Gaza, at an area near the Beit El Jewish settlement and the West Bank city of Ramallah, July 25, 2014.