Rais wa Ukraine aondolewa madarakani na bunge huku wananchi wachukua udhibiti wa ikulu na afisi zote za serikali.
Waandamanaji wa upinzani wachukua udhibiti wa ikulu Ukraine
5
Wapinzani waonekana wakisafirishwa nadni ya lori inayoonekana ni la jeshi kati kati ya Kyiv.
6
Waandamanaji washika zamu mbele ya jengo la afisi ya rais baada ya kuondoka kwa vikosi vya usalama kati kati ya Kyiv.
7
Kiongozi moja wapo wa upinzani na mkuu wa chama cha UDAR (Punch) Vitaly Klitschko (kushoto) asalimiana na wapinzani wa serikali nje ya jengo la Bunge mjini Kyiv.
8
Watu wajadiliana mbele ya bango kubwa linaloonesha kiongozi wa upinzani wa Ukraine, Tymoshenko, kati kati ya Kiev