Harusi ya Nisansala na Nalin iliyofanyika Negombo, Sri Lanka yavunja rekodi ya dunia ya Guinness kwa kuwa na wapambe wengi zaidi kuliko harusi nyengine yeyote ile. Nov 8 2013. Kulikuwa wasimamizi wanawake 126 na wapambe wanaume 25.
Harusi ya Sri Lanka yavunja rekodi ya Guinness kwa kuwa na wapambe wengi.

1
Bwana na Bibi harusi kutoka Sri Lanka, Nisansala na Nalin twachukua picha pamoja na wasimamizi wake wakati wa sherehe ya harusi yao ambayo ilivunja rekodi ya Guinness kwa kuwa na wasimamizi wengi zaidi huko Negombo Novemba 8, 2013

2
Bwana na Bibi harusi Nisansala na Nalin wa Sri Lanka wanatabasamu wakati wa sherehe ya harusi yao huko Negombo Novemba 8, 2013.

3
Nusu ya Wapambe wanaume na wanawake 151 wakisimama kupiga picha ya pamoja wakati wa harusi ya Nisansala and Nalin iliyovunja rekodi ya Guinness huko Sri Lanka.

4
Mtoto wa kiume moja wapo ya watoto 20 walowashindikiza Nisansala and Nalin walipovunja rekodi ya Guinness huko Negombo Novemba 8, 2013.