Dharuba ya upepo yenye kasi za zaidi ya mili 200 kwa saa imesababisha vifo vya takriban watu 50 wakiwemo watoto 20 na uharibifu mkubwa wa mali.
Dharuba kali ya upepo yasababisha maafa Oklahoma
5
Dharuba ya upepo mkali inapita karibu na baadhi za nyumba mjini Moore, Oklahoma, Mei 20, 2013.
6
Mwanamke akimbeba mtoto akipita kwenye uwanja karibu na shule ya msingi ya A woman carries her child Plaza Towers iliyoharibiwa kabisa mjini Moore, Oklahoma, Mei 20, 2013.
7
Mtoto wa miaka saba Katrina Ash akibebe doli wake anaposubiri ndani ya lori pamoja na babu yake Michael Bowen, baada ya dharuba kuharibu mtaa wao kabisa karibu na Dale, Oklahoma, Mei 19, 2013.
8
A boy is pulled from beneath a collapsed wall at the Plaza Towers Elementary School following a tornado in Moore, Okla., Monday, May 20, 2013.