Rais Omar al Bashir afanya ziara ya kihistoria Sudan Kusini ikiwa ni ya kwanza tangu nchi hizo mbili kutengana 2011.
Rais Omar al-Bashir atembelea Sudan Kusini
5
Sudanese President Omar al Bashir gets a red carpet welcome as he arrives at Juba airport for his first visit to South Sudan since it split from Sudan in 2011.
6
Rais wa Sudan Omar al Bashir akikaguwa gwaride la heshima kwenye uwanja wa ndege wa Juba alipowasili kwa ziara ya kwanza Sudan Kusini.
7
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir (kulia) amkaribisha mwenzake wa Sudan Omar Hassan al Bashir nje ya afisi yake mjini Juba Ijuma, Aprili 12, 2013.
8
Rais wa Sudan Omar al Bashir na mwenyeji wake wa Sudan Kusini Salva Kiir wakizungumza na waandishi habari wakati wa mkutano wa pamoja mwishoni mwa ziara ya kihistoria ya bashir huko Sudan Kusini.