Balozi wa Marekani nchini Libya na wafanyakazi watatu wa ubalozi wameuliwa baada ya kundi la watu kuvamia afisi ya ubalozi mdogo wa Marekani katika mji wa mashariki wa Benghazi usiku Jumanne. J. Christopher Stevens,ni mmoja kati ya maafisa wenye ujuzi mkubwa wa mashariki ya kati katika wizara ya mambo ya kigeni.
Balozi wa Marekani Christopher Stevens
5
Wajumbe wa Uingereza na Marekani kwa wapinzani wa Libya Christopher Prentice (kushoto) na Chris Stevens wakihudhuria mkutano wa waandishi habari na kiongozi wa waasi Mustafa Abdul Jalil (hayumo kwenye picha) baada ya kukutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika katika ngome ya waasi Benghazi
6
US diplomatic envoy to rebel held Libya Chris Stevens (R), Britain's diplomatic representative Christopher Prentice (L) and deputy chairman of the TNC Abdul Hafiz Ghoqa (C) hold candles during a memorial service for slain photojournalists Tim Hetherington
7
Jengo la ubalozi mdogo wa Marekani mjini Benghazi mashariki ya Libya likiwaka moto
8
Ubalozi mdogo wa Marekani Benghazi Libya umeharibiwa na watu walokuwa na hasira.