Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Maelfu wahudhuria mazishi ya Atta Mills wa Ghana
5
Gari la maiti linasafirisha mwili wa John Atta Mills hadi jengo la bunge Accra, Ghana, August 8, 2012.
6
John Evans Atta Mills, rais wa Ghana akitembelea ukumbi wa soko la hisa la New York, Stock Exchange, Alhamisi, Dec. 15, 2011, anazungumza na mtaalamu wa hisa Jennifer Klesaris.
7
Rais Barack Obama akika pamoja Ghana's Rais John Atta Mills, (kulia), na Rais Yayi Boni wa Benin wakati wa kuzindua mkutano juu ya Usalama wqa Chakula wakati wa mkutano wa viongozi wa G-8 huko Camp David, Mai 19, 2012.
8
Rais Barack Obama akitembea na rais wa Ghana John Atta Mills, (kulia), katika Ikulu ya rais Accra, Ghana, Jumamosi, Julai 11, 2009.