Viongozi wa dunia waungana na maelfu na maelfu ya waGhana katika mazishi ya aliyekuwa rais wa Ghana John Atta Mills, aliyefariki Julai 24, 2012.
Maelfu wahudhuria mazishi ya Atta Mills wa Ghana
1
Rais mpya wa Ghsana Atta Mills, (kulia), akizungumza kwa hisia nyingi wakati wa sherehe za kuapishwa kuwa rais mpya wa nchi mjini Accra, Ghana Wednesday, Jan. 7, 2009.
2
Makamu rais Ghana John Mahama is sworn in as new President of Ghana in parliament after the passing of the late Ghana President John Atta Mills in Accra, July 24, 2012.
3
Watu wanakwenda kutoa heshima zao za mwisho kwa marhemu Rais John Atta Mills katika jengo la bunge Accra, Ghana, August 9, 2012.
4
Rais John Dramani Mahama wa Ghana (kati) na mkewe Lordina wanawasili mwanzoni mwa siku tatu za ibada za mazishi za marhemu John Atta Mills, Accra, Ghana, August 8, 2012.