Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 28, 2023 Local time: 10:30

Je Nifanyeje? Maamuzi ya Afya na Kijamii kwa Vijana

Kipindi cha dakika 30 kinacholenga vijana kwa kufuatulia maisha ya vijana, hasa wasichana, kuwasaidia kufanya maamuzi mazuri ya kiafya na kijamii ambayo yanaweza kuwa na maana katika maisha yao milele. Kipindi hiki kina sehemu ya habari za afya, majadiliano, na maswali na majibu kwa madaktari na wataalam wengine.


Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG