Picha za uchaguzi wa katikati ya mhula Marekani
wamarekani waleta mabadiliko makubwa katika uwongozi Marekani wakati wa uchaguzi wa kati kati ya mhula.
9
Michelle Obama, mke wa rais Obama akipiga kura huko Chicago.
10
Rais Barack Obama na mke wake Michelle wakijaribu kuwahamasisha wafuasi wa wagombea Democrates huko Ohio.
11
Maelfu na maelfu ya mashabiki wahudhuria mkutano wa hadhara ulotayarishwa na wachekeshaji mashuhuri wa marekani Jon Stewart and Stephen Colbert, wiki moja kabla ya uchaguzi wa kati kati ya mhula