Picha za uchaguzi wa katikati ya mhula Marekani
wamarekani waleta mabadiliko makubwa katika uwongozi Marekani wakati wa uchaguzi wa kati kati ya mhula.

1
Idadi ya wabunge katika mabaraza mawili ya bunge kabla ya uchaguzi wa kati kati ya mhula

2
Waziri wa kazi wa Marekani Hilda Solis, kushoto, pamoja na Seneta. Barbara Boxer, wa Carlifonia wakiwahimiza wapiga kura kujitokeza kwenda kupiga kura.

3
Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton akimbeba mtoto akiwa katika kapeni huko Washingtonville, N.Y.

4
Rand Paul, nyote wa vuguvugu la Tea Party akishinda kiti cha Senet huko Kentucky kwa niaba ya chama cha Republican.