Tangazo hilo la CENI lilipingwa na baadhi ya wadau, wakiwemo waangalizi wa kimataifa na kanisa Katoliki, huku baadhi walitaka kura hizo zihesabiwe upya.
Wapiga kura wajitokeza kwa wingi katika sehemu mbali mbali za Kongo kushiriki katika uchaguzi wa rais, bunge la taifa na mabunge ya majimbo.
Hivyo uchaguzi huu wa nne tangu uhuru ni muhimu kwani matokeo ya duru ya kwanza ya uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia uliofanyika Julai 30, 2006, yalisababisha mapigano makali katika mji mkuu wa Kinshasa kati ya wafuasi wa Kabila na mpinzani wake mkuu Jean Pierre Bemba.
Katika makala maalum ya sisi ni Wacongo leo tunakutana na Lundu Sarah Musanga, mwanafunzi katika chuo kikuu cha Kinshasa.
Katika muendelezo wa makala zetu za sisi ni Wacongo, hivi leo tunamuangalia Kastaki Mwenge fundi wa nguo jijini Kinshasa.
Katika muendelezo wa makala ya sisi ni wacongo kutoka VOA, sehemu ya tatu inamuangalia kijana Beka ambaye ni fundi viatu jijini Kinshasa.
Katika muendelezo wa makala ya sisi ni wacongo, sehemu ya pili inammulika mwanamama Marie France Mboma ambaye ni mfanyabiashara wa chakula jijini Kinshasa.
Katika makala ya sisi ni wacongo ambapo VOA inazungumza na watu mbali mbali nchini DRC kujua hisia zako kuhusu uchaguzi na nchi yao, hapa tunakutana na Joe Enua Mata msanii wa michoro kutoka Kinshasa.
Wagombea wakuu wa tatu DRC ni Emmanuel Ramazani Shadary, Martin Fayulu na Felix Tshisekedi,
Changamoto zinazo ikabili DRC kabla, wakati wa uchaguzi mkuu
Hatua hiyo ilisababisha ghasia za hapa na pale na watu kadhaa kuuawa kutokana na maandamano ya kupinga uamuzi huo.
Pandisha zaidi