Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 04:02
VOA Direct Packages

ZULIA JEKUNDU EP 328: Changamoto na maisha ya wasanii wa K-pop


ZULIA JEKUNDU EP 328: Changamoto na maisha ya wasanii wa K-pop
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:01 0:00

Wasanii wa K-pop wamevunja rekodi katika chati ya billboard 100. Wamejipatia mashabaki wa kimataifa na imekuwa ni sekta ya takriban dola bilioni 5. Bila ya shaka hivisasa Korea Kusini ni yenye ushawishi mkubwa wa kupeleka utamaduni wao kwingineko duniani.

Facebook Forum

Makundi

XS
SM
MD
LG