Ujenzi wa reli unaojulikana kama Lobito Corridor unaofufuliwa tena huko Zambia, Congo na Angola una azma ya kuendeleza uwepo wa Marekani katika eneo lenye utajiri wa madini muhimu yanayotumiwa kutengeneza betri za magari ya umeme, vifaa vya kieletroniki na teknolojia ya nishati safi.
Ziara ya Biden Angola kukabiliana na ushawishi wa China barani Afrika
Biden aliwasili Angola Jumatatu kuanza ziara yake iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu huko Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara na atatumia siku tatu za ziara yake kukabiliana na ushawishi wa China kwa kutangaza mradi wenye matarajio makubwa wa reli unaofadhiliwa na Marekani.
1
Rais Biden and Rais Lourenco wakiwa jukwaani.
2
Rais Biden akiongea na mwenyeji wake Rais Lourenco,
3
Rais Biden and Rais Lourenco wakiwa katika jukwaa kutoa heshima zao.
4
Rais Biden akionekana kuwa na furaha baada ya kukutana na mwenyeji wake Rais wa Angola Joao Lourenco,
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017