Fainali za Kombe la Dunia zinafanyika Afrika Kusini Juni 11 hadi Julai 11 ambapo mataifa 32 yanawania ubingwa wa soka wa dunia huku mashabiki wa soka duniani wakiwa na shauku kubwa juu ya nani atatwaa ubingwa huo. Fuatilia michuano hiyo kupitia idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika, VOA.
Kombe la Dunia
Afrika Kusini 2010