Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Machi 29, 2023 Local time: 05:55

WHO yaeleza wasiwasi wake juu ya mlipuko mpya wa COVID


WHO yaeleza wasiwasi wake juu ya mlipuko mpya wa COVID
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:07 0:00

Maambukizi yaongezeka nchini China huku Shirika la Afya Duniani, WHO, likieleza wasiwasi juu ya ongezeko hilo jipya la maambukizi. China Virusi vya Omicron vilijitokeza mwishoni mwa mwaka 2021 huku vikiwa na uwezo wa kuambukiza tena watu na vilikuja na rekodi za kesi za Covid ambazo zilifuatia.

Baada ya hapo awali wanasayansi walikuwa na hofu kubwa na kubashiri hali ingelirejea kuwa ya kawaida. Ungana na mwandishi wetu akikuletea hali ilivyokuwa nchini China na idadi ya kubwa ya maambukizi yalijitokeza huku mamlaka husika zikieleza hatua za kuongeza uwezo wa hospitali na huduma za dharura kukabiliana na janga hilo. Lakini hata hivyo mamlaka husika zilieleza kuwa hakuna takwimu rasmi za maambukizi hayo. Endelea kusikiliza ...

XS
SM
MD
LG