Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 29, 2023 Local time: 12:06

Wazimbabwe wapewa miezi 12 kuomba vibali vya kuishi Afrika Kusini


Wazimbabwe wapewa miezi 12 kuomba vibali vya kuishi Afrika Kusini
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:15 0:00

Serikali ya Afrika Kusini imetoa miezi 12 kwa raia wa Zimbabwe nchini humo kutuma maombi ya kupatiwa vibali vya ukazi baada ya malalamiko kutoka kwa raia hao na mashirika mbalimbali ya kutetea haki za binadamu juu ya amri ya kuwataka waondoke.

XS
SM
MD
LG