Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Machi 29, 2023 Local time: 07:39

Wazazi nchini Afrika Kusini waiomba serikali kudhibiti madawa ya kulevya


Wazazi nchini Afrika Kusini waiomba serikali kudhibiti madawa ya kulevya
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:27 0:00

Wakati Afrika Kusini ikikabiliwa na ongezeko la matumizi ya dawa haramu za kulevya hasa kwa vijana, wazazi na walezi nchini humo wameiomba serikali kuhakikisha inadhibiti mianya ya uingizaji wa mihadarati.

XS
SM
MD
LG