Watu 29 wamejeruhiwa katika shambulizi kwenye kituo cha treni New York
Kulingana na maafisa wa jiji la New York mtu mwenye silaha aliyejifunika uso kuzuia moshi wa gesi ya kutoa machozi alifyatua risasi kwenye kituo cha treni cha Brooklyn cha chini ya ardhi na kusababisha hofu miongoni mwa wakaazi ambao ni abiria waliokuwa wakielekea kwenye shughuli mbalimbali za siku
Matukio
-
Desemba 20, 2022
Je Museveni anamuogopa mwanawe?
-
Novemba 18, 2022
Maandalizi ya Kombe la Dunia 2022 siku mbili kabla ya Kipute kuanza
-
Novemba 01, 2022
Waumini wahamasishwa kuto kula nyama ili kuhifadhi mazingira