Upatikanaji viungo

Breaking News

Video

Kurudi kwa uchumi wa jiji la Detroit na matatizo yaliyotokea katika mji wa Charlottesville wiki hii

Kurudi kwa uchumi wa jiji la Detroit na matatizo yaliyotokea katika mji wa Charlottesville wiki hii
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:05:21 0:00

Mji wa Charlottesville wiki hii umekubwa na majonzi makubwa haswa kutokana na kuuwawa kwa mwanamke Heather Heyer baada ya kugongwa na gari akiwa katika maandamano. Mji wa detroit umekuwa unakua kwa kasi sana haswa baada ya kuanguka vibaya kiuchumi katika miaka ya karibuni

XS
SM
MD
LG