Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Machi 29, 2023 Local time: 06:29

Wamarekani waandamana kufuatia kuvuja rasimu ya Mahakama Kuu iliyo dhidi ya utoaji mimba


Wamarekani waandamana kufuatia kuvuja rasimu ya Mahakama Kuu iliyo dhidi ya utoaji mimba
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Maandamano kufuatia kuvuja kwa rasimu ya Mahakama Kuu kuhusu kubadili sheria ya kihistoria ya kuhalalisha utoaji mimba ya mwaka 1973 yanafanyika kote Marekani,

Wakati huo huo Rais Joe Biden akosoa vikali rasimu hiyo inayozusha mvutano mkubwa hapa nchini kwa wakati huu. Suala hilo linatarajiwa kuwahamasisha wapiga kura.

- Umoja wa Ulaya umependekeza hatua kali zichukuliwe dhidi ya Russia ikiwemo kupiga marufuku ununuzi wa mafuta yake na vikwazo kwa washukiwa wa uhalifu wa kivita.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG