Musk alizindua kura ya maoni ya twitter wiki iliyopita na asilimia 57.5 ya watumiaji wa mtandao huo alipowauliza iwapo anafaa kujiuzulu kuwa mkurugenzi mtendaji walipiga kura ya ndio. Wakosoaji wa Musk wanaeleza kuwa mara nyingi anaongea kabla ya kutafakari. Endelea kusikiliza sakata hili la Twitter na yale ambayo mkurugenzi huyo anapania kuyatekeleza...